Hii ni noti ya Cedi 20 ya Ghana ambapo dola moja ya kimarekani ni sawa na Cedi 2, ambapo ndiyo kusema Cedi moja ya Ghana ni sawa na takriban shilingi 750/-  ya madafu yetu. Noti zipo za kuanzia Cedi 1, 5, 10, 20 na 50. Fedha ndogo iliyo katika sarafu  inaitwa Pesewa ambayo Pesewa 100 ni Cedi moja

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 13 mpaka sasa

  1. $1=CEDI2
    $1=TSH 1500

    Then CEDI 1 = TSH 1500 ????????

    ReplyDelete
  2. CEDI 1= TSH 750 SOMA VIZURI KABLA HUJARUKIA KWENYE COMMENT!!!

    ReplyDelete
  3. We Anoy hapo juu ulikimbia umande nini?

    $1 = CEDI 2
    $1 = Tsh 1500
    It means;
    Tsh 1500 = CEDI 2
    Therefore:
    CEDI 1 = 1500/2
    Which is 750/=

    ReplyDelete
  4. kabisaa mdau umekurupuka

    ReplyDelete
  5. KAIBADILI HIYO ANKAL MWANZO ALIANDIKA CEDI 1=1500

    ReplyDelete
  6. Wadau msitishike na exchange rate, hai-reflect maisha ya mwananchi wa kawaida. Kwani Ghana pamoja na kuwa na strong currency wanatuzidi nini? si wanahangaika tu kama sisi. So to me it's just nothing!

    ReplyDelete
  7. Wenzetu walifanya Currency denomination baada ya fedha yao kuwa imechupia mipaka kwenye exchange rate so msidhani ni strong currency wadau,wote tupo mulemule tu.Naimani wachumi wamenisoma vizuri.

    Mdau toka China.

    ReplyDelete
  8. exchange rate ndio mwanzo wa good direction..hata UK kwenye Sterling Pound watu wanateseka..inabidi tuanze kupiga hatua...

    ReplyDelete
  9. Accra siyo Ghana..Nenda vijijini uone waghana walivyochoka.Jamani sisi tuna Matatizo yetu lakini,I swear,Tanzania inazipita nchi kibao za Kiafrika kimaendeleo pamoja na Fedha yetu kutokuwa na Nguvu dhidi ya dola.Kuna nchi zimejengwa na wazungu 90%.Sisi tunajikongoja wenyewe......

    Modou

    ReplyDelete
  10. Asante Ankal kwa kujibu swali langu japo umechelewa nadhani ilikuwa ni mambo ya utafiti kidogo.

    ReplyDelete
  11. Unaesema Ghana ni kama sie si mfuatiliaji wa mambo. Ghana imeshaingia kwenye middle income countries kama Botswana. Kalagabao.

    Ila nakubali exchange rate haisemi kila kitu ingekuwa inasema basi Japan ambao Yen 1 ni sh 10 ya Tz wangekuwa masikini zaidi ya Kenya.

    ReplyDelete
  12. Bongo Tambarale!

    La muhimu katika mabadilishano ya Fedha tusiombe kuja kufikia walipowahi kufika Zimbabwe kipindi cha Vikwazo vya Uchumi na Fedha

    1US$ =1,000,000,000,000 Zimbabwe$ !

    ReplyDelete
  13. Bank zipi tanzania zinabadilisha pesa ya ghana

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...