Spika Anne Makinda, mgeni rasmi katika mahafali ya kumi ya Barbra Johansson Model Girl's Secondary School yaliyofanyika shuleni hapo leo, akipozi na Ankal na bintiye Mamou katika mahafali ya  10 ya kidato cha nne na sita ya shule hiyo ambayo, pia yalisherehekea miaka 100 ya mfadhili mkuu wa shule hiyo Mama Barbra Johansson pamoja na kutimia miaka 12 ya shule hiyo. Mamou amehitimu kidato cha sita
 Ankal na Mamou wakifurahia
 Familia za Mamou na rafikiye kipenzi Sabrina wakila pozi wakati wa picnic ya mahafali hayo
 Mama Ankal akitoa kadi za pongezi kwa wahitimu Sabrina na Mamou
Sabrina na Mamou wakipozi baada ya kuhitimu kidato cha sita.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. Duh! Michuzi kumbe una binti mkubwa hivi. HONGERA sana kwa familia nzima. Mwambie asibweteke.

    Kumbe T-shirt zafanya watu waonekane wadogo

    ReplyDelete
  2. Assalam Alaykum,

    Sheikh Muhiddin Issa Michuzi,
    kwa heshima naomba anuani ya kumfikia babu yake Mamou nina ujumbe nataka nitume 'watu na barua' huko,

    Inshallah!

    Mdau wa Libeneke.
    Dar Es Salaam.

    ReplyDelete
  3. ankal,.. Usisahau kutuwekea na matokeo yake yakitoka

    ReplyDelete
  4. hongera sana ankal, aka mkweeeeee

    ReplyDelete
  5. Shikamooo baba Mkwe mtarajiwa Mhe. Muhiddin Issa Michuzi!

    Isipokuwa nitasubiri amalize masomo kwanza na kaunza kazi.

    ReplyDelete
  6. WEKA NAMBA YAKE YA SIMU NIMPONGEZE KWA KUMPIGIA.

    ReplyDelete
  7. Shikam Baba Mkwe Michu! Shikam Mkwe! Hivi mnakaa wapi tena vile mkwe?

    ReplyDelete
  8. Assalam Alaykum Sheikh Issa Michuzi!

    Mimi Ustaadh Mohamed wa Darisalama nitafaa kuwa mwanao kupitia kwa Mamou.

    Inshallah.

    ReplyDelete
  9. acheni mchezo mwacheni Mamou asome kwanza!

    ReplyDelete
  10. Ba mkwe mie naleta posa mapema

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...