Spika Anne Makinda, mgeni rasmi katika mahafali ya kumi ya Barbra Johansson Model Girl's Secondary School yaliyofanyika shuleni hapo leo, akipozi na Ankal na bintiye Mamou katika mahafali ya 10 ya kidato cha nne na sita ya shule hiyo ambayo, pia yalisherehekea miaka 100 ya mfadhili mkuu wa shule hiyo Mama Barbra Johansson pamoja na kutimia miaka 12 ya shule hiyo. Mamou amehitimu kidato cha sita
Ankal na Mamou wakifurahia
Familia za Mamou na rafikiye kipenzi Sabrina wakila pozi wakati wa picnic ya mahafali hayo
Mama Ankal akitoa kadi za pongezi kwa wahitimu Sabrina na Mamou
Sabrina na Mamou wakipozi baada ya kuhitimu kidato cha sita.







Duh! Michuzi kumbe una binti mkubwa hivi. HONGERA sana kwa familia nzima. Mwambie asibweteke.
ReplyDeleteKumbe T-shirt zafanya watu waonekane wadogo
Assalam Alaykum,
ReplyDeleteSheikh Muhiddin Issa Michuzi,
kwa heshima naomba anuani ya kumfikia babu yake Mamou nina ujumbe nataka nitume 'watu na barua' huko,
Inshallah!
Mdau wa Libeneke.
Dar Es Salaam.
ankal,.. Usisahau kutuwekea na matokeo yake yakitoka
ReplyDeletehongera sana ankal, aka mkweeeeee
ReplyDeleteShikamooo baba Mkwe mtarajiwa Mhe. Muhiddin Issa Michuzi!
ReplyDeleteIsipokuwa nitasubiri amalize masomo kwanza na kaunza kazi.
WEKA NAMBA YAKE YA SIMU NIMPONGEZE KWA KUMPIGIA.
ReplyDeleteShikam Baba Mkwe Michu! Shikam Mkwe! Hivi mnakaa wapi tena vile mkwe?
ReplyDeleteAssalam Alaykum Sheikh Issa Michuzi!
ReplyDeleteMimi Ustaadh Mohamed wa Darisalama nitafaa kuwa mwanao kupitia kwa Mamou.
Inshallah.
acheni mchezo mwacheni Mamou asome kwanza!
ReplyDeleteBa mkwe mie naleta posa mapema
ReplyDelete