Mojawapo ya mabango mengi katika jiji la Kampala, Uganda, yanayokumbusha wananchi kuhusu mpango wa kuhamishia masafa ya utangazaji wa redio na televisheni kutoka mfumo wa analogi kuelekea digitali ifikapo December 31, mwaka huu. Wahusika hapa Tanzania, ambayo nayo itafanya hivyo muda huo ukifika, pia inafanya juhudi za kuelimisha umma kupitia redio na TV. Ila si vibaya kuiga jirani zetu hawa...
Home
Unlabelled
bango la kuelimisha umma kuhusu mpango wa kuhamia kwenye digital kampala
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Michu ,vipi huko Kampala maflyover wanayongangania watu wa UK? au huko nako hakuna ?? naona umetuwekea picha ya njaa kali ,yaani afadhali ya Vingunguti. Zamani tulikuwa tunaponda Manzese,leo Manzese ni sawa na London, ukitaka kumvua mtu nyumba yake ,basi andaa million 600 kabisa tena cash siyo Visa au master card. Zebedayo msema kweli.
ReplyDelete