Mkuu wa Itifaki wa Miss Tanzania Albert Makoye akizindua kambi ya Redd's Miss Kinondoni 2012 katika hoteli ya JB Belmont jijini Dar. Pembeni yake ni Mratibu wa Redd's Miss Kinondoni 2012, Vivien Sirikwa na nyuma ni warembo walio katika kinyang'anyiro cha Redd's Miss Kinondoni 2012. 

Mmiliki wa hoteli ya JB Belmounte ambao ni wadhamini wa Redd's Miss Kinondoni 2012, Bw. JB akiongea katika uzinduzi wa kambi iliyopo katika hoteli hiyo.


Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. HUYO DADA WA KWANZA AKISINDWA NITAKUNYWA SUMU. KUTAKUWA HAMNA MAANA TENA YA U MISS MISS. AKISHINDWA TU JK NAOMBA ONDOA MOJA KWENYE HESABU ZENU ZA SENSA.

    ReplyDelete
  2. ana nini cha ajabu?kumbuka ktk huo udhalilishaji wa hao kinadada moja ya vigezo ni kujibu maswali kwa ufasaha

    ReplyDelete
  3. LONG NICE LEGS! nilidhani walishamalizaga haya na miss TZ akapatikana? Lisa Jensen? au ndio watu wamejipatia biashara sasa mashindano yasioisha? IT IS TRUE THOUGH THE GIRL IN BLACK IS CUTE.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...