Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. Big-up watani wa jadi. Mmetutoa kimasomaso Afrika Mashariki. WaTZ hatuhitaji tena kwenda ulaya ndio tuone flyovers.

    ReplyDelete
  2. Naona wivu jamani

    ReplyDelete
  3. ebwana eeh bara bara kama ulaya huko bongo zipo duu sijajua ebwana eeeh hii kweli au duu ndo leo nafunuka macho kuona haya ya musa na firauni

    ReplyDelete
  4. sisi tunaimba siasa bongo watani wa jadi wanasonga mbele mbona balaa.
    nchi hii kazi kusifiana tu huyu mzuri huyu mzuri kazi hamna.

    kibaoni gengeni,kipawa.

    ReplyDelete
  5. Sie Tz. tumekalia politic tu

    ReplyDelete
  6. Hata sisi tungekuwa mbali kuliko hao laikni, Mwalimu alikuwa antumia muda wake kuwakomboa waafrika wengine (Nchumbiji, ChauchAfrika n.k). Sijui kama kuna hata mahali watasema asante. Au ndo ilikuwa tenfa wema uende zako?

    ReplyDelete
  7. Si kumlaumu mwalimu peke yake.Waliokuja wamefanya nini?Watanzania tukiongozwa na viongozi wetu tuwe na moyo wa maendeleo kwani Tanzania itajengwa na sisi wenyewe.Wakenya wamefanya hayo yote wao wenyewe.

    Seven

    ReplyDelete
  8. Ee bana ee!!!!

    Mi nlizani mji mmoja huko Ulaya kumbe Kenya...Haya Magufuli kazi kwako...na sisi tuone hizo bara bara unazojenga.

    ReplyDelete
  9. Tumekariri kuwa maendeleo ni hadi Magharibi. Tutabaki kuwa wasuluhishi tu wenzetu wanatenda kazi. Kikwete anasifika eti ni msuluhishi Kenya. Natamani sana mradi wa BRT/RBT uishe. Labda kidogo tutakuwa na cha kusema.

    kufikia mwaka 2020 kutakuwa na treni za kupita uvunguni (chini ya ardhi) hapa Kenya. Sisi tutakuwa bado kwenye siasa. Kibaya zaidi na mimi nasaidia kufanya hilo liwezekane Kenya, kwa sababu Tanzania nikisema kufanya watu hawataki wanataka Siasa.

    ReplyDelete
  10. Muzee ATOSHA!

    ReplyDelete
  11. Sie watanzania tatizo hatujiamini na viongozi hawafanyi maamuzi. Ikitokea watanzania wanajaribu basi tutaanza kuwapiga vita na vijembe. Tuache siasa tufanye kazi

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...