Katapila la Baraza la Manispaa ya Zanzibar likiendelea na ukarabati wa barabara ya Mkunazini iliyokuwa imeharibika sana kwa mashimo makubwa.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Upuuzi wa nyundozii Zanzibar mwiko. Kariakoo zamani palikuwa panafanana na Mkunazini. Palikuwa pazuri. Wakiishi zaidi Wazaramo, Wamanyema, Wanyamwezi, Waarabu na Wahindi. Sasa hivi Kariakoo haileweki. Tumefuta historia. Inasikitisha sana.

    ReplyDelete
  2. hahaha hayo yote yanakuja kutokana na ule usemo wa tunaitaka zanzibar yetu tupumue

    sop sop gani hicho ankali michuzi au ni changa la macho tu au danganya toto

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...