Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Rais Yoweri Kaguta Museveni wakati wa mazishi ya kiongozi wa Ethiopia marehemu Meles Zenawi yaliyofanyika leo jijini Addis Ababa.

Jeneza la aliyekuwa Waziri mkuu wa Ethiopia Marehemu Meles Zenawi likiletwa katika viwanja vya Addis kwaajili ya maombolezo ya kitaifa kabla ya mazishi yake yaliyofanyika leo.
Askari wa kike akilia kwa uchungu wakati Jeneza lenye mwili wa aliyekuwa Waziri mkuu wa Ethiopia Marehemu Meles Zenawi likiletwa katika viwanja vya Addis kwaajili ya maombolezo ya kitaifa kabla ya mazishi yake yaliyofanyika leo.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiteta jambo na Rais Jackob Zuma wa Afrika ya kusini wakati wa mazishi ya aliyekuwa Waziri mkuu wa Ethiopia Meles Zenawi jijini Addis Ababa leo mchana.picha na Freddy Maro

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. askari huyu mkakamavu kweli? yeye analia raia walifanya nini? sipati picha alitakiwa akakamae, asema etiopia tikdem!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...