Asalaam alaykhum,
Wajina naomba uwafahamishe wapenzi wa blog ya jamii wapite www.activechef.blogspot.com kujifunza kutengenza juisi ya tikiti maji na mchanganyiko wa limao kisha watapata recipe ya keki ya bila mayai hii ni bora sana kwa wale wenye alege na mayai. pia wanaweza pata udate za recipe na menu kwa ku like facebook page ya active chef.
wasalaam chef issa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 17 mpaka sasa

  1. keki au matofaliii duh

    ReplyDelete
  2. Swadakta tena wakati huu wa jua juisi hii itaongeza sana apetite na kukata kiu

    ReplyDelete
  3. CHEF KWANI REST YAKO IPO WAPI?

    ReplyDelete
  4. Keki bila mayai hii kali duh ok, we mkali bwanaaaaaaaaa

    ReplyDelete
  5. WELDONE CHEF

    USA

    ReplyDelete
  6. HUWA NAFATILIA SANA MAFUNZO KATIKA BLOG YAKO ISSA NAKUSHAURI SASA ANGALIA UWEZEKANO WA KUANZISHA KITABU AU FANYA TV SHOW PIA MAFUNZO YAWAFIKIE WENGIZAIDI TUFAIDI SOTE

    ReplyDelete
  7. This is fantastic keep up the spirit kijana

    ReplyDelete
  8. UAUHAKIKA INGREDIENTS ULIZOWEKA KATIKA HIZO RECIPE ZAKO WATU WATAZIPATA KWA ULKAINI? HILI NI LAMUHIMU SANA KUZINGATIA HASA KWA WATU WA KIPATO CHA CHINI HILI NI ANGALIZO TU KATIKA MAFUNZO UNAYOTOA

    UK

    ReplyDelete
  9. INAWEZEKANA KWELI JAMAMNI KEKI BILA MAYAI AU MAKTE NINI?

    ReplyDelete
  10. Tehe teheeee mweeeeee usipoona ya firauni hutaona ya musa keki bila mayai

    ReplyDelete
  11. This is community contribution young boy I know you do not earn single sent from the blog but you keep on going with full spirity.

    I real salute for what your doing keep up the spirit.

    Dj Swiss

    ReplyDelete
  12. i wish ningekua najua kutengeneza keki ningejaribu lakini juisi nitajaribu

    ReplyDelete
  13. MIMI IMENINOGEA SANA TU ANKAL HAHAHAAAAAAAAA

    ReplyDelete
  14. kazi nzuri sana chef hongera, je unakitabu au unafikiria kutoa?

    ReplyDelete

  15. Juice ya tikiti maji mchanganyiko na limao iko na siri kubwa!
    Kwa wapenzi aw nature...

    ReplyDelete
  16. What about me? You see I have an egg allergy and not an alege, so what do I do?

    ReplyDelete
  17. YALE YALE YA USOMI WA UGOKO. KIBONDE MWINGINE HUYOOO POLENI WASOMI WA KUNYUNYIZA ETI ALEGE

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...