Asalaam alaykhum,
Wajina naomba uwafahamishe wapenzi wa blog ya jamii wapite www.activechef.blogspot.com kujifunza kutengenza juisi ya tikiti maji na mchanganyiko wa limao kisha watapata recipe ya keki ya bila mayai hii ni bora sana kwa wale wenye alege na mayai. pia wanaweza pata udate za recipe na menu kwa ku like facebook page ya active chef.
wasalaam chef issa
keki au matofaliii duh
ReplyDeleteSwadakta tena wakati huu wa jua juisi hii itaongeza sana apetite na kukata kiu
ReplyDeleteCHEF KWANI REST YAKO IPO WAPI?
ReplyDeleteKeki bila mayai hii kali duh ok, we mkali bwanaaaaaaaaa
ReplyDeleteWELDONE CHEF
ReplyDeleteUSA
HUWA NAFATILIA SANA MAFUNZO KATIKA BLOG YAKO ISSA NAKUSHAURI SASA ANGALIA UWEZEKANO WA KUANZISHA KITABU AU FANYA TV SHOW PIA MAFUNZO YAWAFIKIE WENGIZAIDI TUFAIDI SOTE
ReplyDeleteThis is fantastic keep up the spirit kijana
ReplyDeleteUAUHAKIKA INGREDIENTS ULIZOWEKA KATIKA HIZO RECIPE ZAKO WATU WATAZIPATA KWA ULKAINI? HILI NI LAMUHIMU SANA KUZINGATIA HASA KWA WATU WA KIPATO CHA CHINI HILI NI ANGALIZO TU KATIKA MAFUNZO UNAYOTOA
ReplyDeleteUK
INAWEZEKANA KWELI JAMAMNI KEKI BILA MAYAI AU MAKTE NINI?
ReplyDeleteTehe teheeee mweeeeee usipoona ya firauni hutaona ya musa keki bila mayai
ReplyDeleteThis is community contribution young boy I know you do not earn single sent from the blog but you keep on going with full spirity.
ReplyDeleteI real salute for what your doing keep up the spirit.
Dj Swiss
i wish ningekua najua kutengeneza keki ningejaribu lakini juisi nitajaribu
ReplyDeleteMIMI IMENINOGEA SANA TU ANKAL HAHAHAAAAAAAAA
ReplyDeletekazi nzuri sana chef hongera, je unakitabu au unafikiria kutoa?
ReplyDelete
ReplyDeleteJuice ya tikiti maji mchanganyiko na limao iko na siri kubwa!
Kwa wapenzi aw nature...
What about me? You see I have an egg allergy and not an alege, so what do I do?
ReplyDeleteYALE YALE YA USOMI WA UGOKO. KIBONDE MWINGINE HUYOOO POLENI WASOMI WA KUNYUNYIZA ETI ALEGE
ReplyDelete