Waziri wa Biashara Viwanda na Masoko wa Zanzibar,Nassor Ahmed Mazrui akitoa hotuba ya Uzinduzi wa Bodi Mpya ya Wakurugenzi wa ZSTC katika Ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar Ocean View,Kilimani Zanzibar.
Mwenyekiti Mpya wa Bodi ya Wakurugenzi wa ZSTC,Kassim Malik Suleiman akitoa hotuba ya Shukrani na kuomba ushirikiano kwa wajumbe hao katika Ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar Ocean View Kilimani Zanzibar.
Baadhi ya Wajumbe wa Bodi Mpya na yazamani wakiwa katika Kikao cha Uzinduzi wa Bodi Mpya ya Wakurugenzi wa ZSTC katika Ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar Ocean View Kilimani Zanzibar.
Waziri wa Biashara Viwanda na Masoko wa Zanzibar,Nassor Ahmed Mazrui kulia akimkabidhi Zawadi Mwenyekiti wa Zamani wa Bodi ya Wakurugenzi wa ZSTC,Mwinyiuwesa Idarous Yussuf katika Uzinduzi wa Bodi Mpya ya Wakurugenzi wa ZSTC katika Ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar Ocean View Kilimani Zanzibar.
Waziri wa Biashara Viwanda na Masoko wa Zanzibar,Nassor Ahmed Mazrui (katikati) akiwa katika Picha ya Pamoja na Bodi mpya ya Wakurugenzi wa ZSTC katika Ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar Ocean View Kilimani Zanzibar.
Bodi mpya vi0ngozi wa zamani vijana hawapewi nafasi Mambo ni yale yale sometimes unaona shida hata kuungana na Uamsho kwa kuwa hata tukipata nchi yetu mambo ndio yale yale bureaucratic tu.Upuuzi mtupu Bara wenzetu vijana ndio wanaopewa nafasi kwetu bado mijitu miaka 40 haijapata tu wanaona
ReplyDelete