Jeneza lililohifadhi Mwili wa aliekuwa Mwandishi wa Habari wa Kampuni ya Free Media wachapishaji wa Magazeti ya Tanzania Daima na Sayari,Marehemu Agnes Yamo.
 Mchungaji wa kanisa la Uinjilisti alikokuwa akisali Marehemu,Agnes Yamo akiongoza ibada ya kuaga mwili wa Marehemu nyumbani kwake Buguruni kabla ya kusafirishwa kwenda Morogoro kwa Mazishi.
 Sehemu ya umati wa watu uliofika kumsindikiza Marehemu Agnes Yamo kwenye safari yake ya mwisho ukifuatilia kwa makini ibada iliyokuwa ikiyolewa na Mchungaji wa kanisa la Uinjilisti.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Sego FrancisSeptember 26, 2012

    Pumzika kwa amani rafiki mpendwa Agnes. utakumbukwa daima

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...