Kikao cha Uchaguzi cha Halmashauri ya Manispaa ya Nyamagana jijini Mwanza kimemchagua diwani wa Kata ya Mkolani Mh. Stanslaus Mabula wa CCM kuwa Meya wa jiji hilo mara baada ya kumshinda mshindani wake Charles Chinchibela wa CHADEMA aliyepata kura 8 ilhali Mabula akipata kura 11.
Uchaguzi unaoendelea sasa ni wakutafuta
Meya na Naibu wake Halmashauri ya wilaya ya Ilemela.
Habari zaidi zitakuja baadaye
hiyo ndiyo CCM..............kanyaga twende, A Town tunakujaaaaa
ReplyDeletesafi kabisa kyadema nje, sasa mjiandae kurudisha fedha za wagerumani na sabodo
ReplyDeleteBaada ya CCM kuwabwaga ktk Uchaguzi,
ReplyDeleteHaya sasa CHD fanyeni fujo zenu Mwanza kama mnavyofanya Arusha !
Chadema Mwanza mneiona ilivyokuwa nzito NYUNDO YA CCM?
ReplyDeleteSASA TUNAKUJA ARUSHA!
CHADEMA eehhhhh,
ReplyDeleteMmeona?
CCM ina NYUNDO CHAPA KAZI na JEMBE CHAPA MAMBA!
KAENI MKAO WA KUNYOLEWA BILA MAJI KAVU KAVU!
NA UCHAGUZI MKUU 2015 MTAPATA SIFURI!
HII NI KASI KUELEKEA 2015!!!
WEMBE NI ULE ULE!!!
kauli sahihi ni CCM + CUF zaimwaga Chadema!!!
ReplyDeleteHahaha chama cha vibaraka chalii wabongo tushastuka na nia yenu tushaijua wazee wa kutumiwa.wanafki wakubwa mnataka kutuondolea amani nchini Ile iweje. na bado mvua inakuja 2015
ReplyDeleteKuelekea Uchaguzi Mkuu 2015,
ReplyDeleteChadema inazidi kuzama kaburini!
Kwani hatujawastukia?
CHAgga DEmocratic MAnifestation, inazidi kupoteza mwelekeo,
ReplyDeleteIle puuu!,,,Uchaguzi Mkuu 2015 katika Vituo vya Uchaguzi mnapata kura kwa idadi kama namba za viatu , mfano 6, 7 ,8 au 9 hazizidi 10!
Sehemu zingine katika Vituo vya kuhesabiwa kura mnapata namba za viatu vya watoto wa Chekechea mfano, 1, 2 au 3 !
Mkae mkielewa ya kuwa Mtanzania siyo ndege John anayetia huruma ndani ya Tundu lake!
Ninyi mnafikiri Mtanzania ni mjinga wa kutambua ni ipi Itikadi sahihi na ya kweli Kisiasa?
Wimbi la kushindwa Uchaguzi CDM la la muhimu msije kuingia Musituni!!!
ReplyDeleteJapokuwa wananchi wamechoka na yanayofanywa na viongozi wabadhilifu, na kulindana ndani ya CCM lakini Chadema naona kwa sasa hawaja-qualify kuwa chama cha watanzania wote (Makabila yote,Dini na itikadi zote n.k). Viongozi wa vyama vingi huwa wasafi mdomoni ila kwenye mioyo yao na WANAOWAFADHILI kuna HIDDEN AGENDA. Naona mabadiliko ya kisiasa Tanzania yanaweza kufanywa na muungano wa vyama vya upinzani vitakavyowakilisha watanzania wote.
ReplyDeleteNi jambo la ajabu kabisa Msukuma chapa ya ng'ombe kuwa Chadema!
ReplyDeleteHao huko Mwanza sio Wasukuma kamili, ni vile Msukuma daima ni mkulima na mfugaji na kwa vyovyote Itikadi yake ni Jembe na Nyundo!
Kwani hatuwafahamu Wasukuma wa kweli?
Wasukuma Mwanza achaneni na Chama cha ITIKADI YA KICHAGGA!
ReplyDeleteHao watawatumbukiza katika vita kwa machafuko na mkashindwa kufuga ng'ombe wenu kwa kuhamia msituni!
Je, Mwanza kuna madiwani wangapi wa CHADEMA? Na wa CCM ni wangapi? Jibu la maswali haya ndo litamaliza ubishi. La sivyo watu mwaweza kuwa MAKASUKU bila sababu
ReplyDelete