Kikao cha Uchaguzi cha Halmashauri ya Manispaa ya Nyamagana jijini Mwanza kimemchagua diwani wa Kata ya Mkolani Mh. Stanslaus Mabula wa CCM kuwa Meya wa jiji hilo mara baada ya kumshinda mshindani wake Charles Chinchibela wa CHADEMA aliyepata kura 8 ilhali Mabula akipata kura 11.

Uchaguzi unaoendelea sasa ni wakutafuta 
Meya na Naibu wake Halmashauri ya wilaya ya Ilemela.
Habari zaidi zitakuja baadaye

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 14 mpaka sasa

  1. hiyo ndiyo CCM..............kanyaga twende, A Town tunakujaaaaa

    ReplyDelete
  2. safi kabisa kyadema nje, sasa mjiandae kurudisha fedha za wagerumani na sabodo

    ReplyDelete
  3. Baada ya CCM kuwabwaga ktk Uchaguzi,

    Haya sasa CHD fanyeni fujo zenu Mwanza kama mnavyofanya Arusha !

    ReplyDelete
  4. Chadema Mwanza mneiona ilivyokuwa nzito NYUNDO YA CCM?

    SASA TUNAKUJA ARUSHA!

    ReplyDelete
  5. CHADEMA eehhhhh,

    Mmeona?

    CCM ina NYUNDO CHAPA KAZI na JEMBE CHAPA MAMBA!

    KAENI MKAO WA KUNYOLEWA BILA MAJI KAVU KAVU!

    NA UCHAGUZI MKUU 2015 MTAPATA SIFURI!

    HII NI KASI KUELEKEA 2015!!!

    WEMBE NI ULE ULE!!!

    ReplyDelete
  6. kauli sahihi ni CCM + CUF zaimwaga Chadema!!!

    ReplyDelete
  7. Hahaha chama cha vibaraka chalii wabongo tushastuka na nia yenu tushaijua wazee wa kutumiwa.wanafki wakubwa mnataka kutuondolea amani nchini Ile iweje. na bado mvua inakuja 2015

    ReplyDelete
  8. Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2015,

    Chadema inazidi kuzama kaburini!

    Kwani hatujawastukia?

    ReplyDelete
  9. CHAgga DEmocratic MAnifestation, inazidi kupoteza mwelekeo,

    Ile puuu!,,,Uchaguzi Mkuu 2015 katika Vituo vya Uchaguzi mnapata kura kwa idadi kama namba za viatu , mfano 6, 7 ,8 au 9 hazizidi 10!

    Sehemu zingine katika Vituo vya kuhesabiwa kura mnapata namba za viatu vya watoto wa Chekechea mfano, 1, 2 au 3 !

    Mkae mkielewa ya kuwa Mtanzania siyo ndege John anayetia huruma ndani ya Tundu lake!

    Ninyi mnafikiri Mtanzania ni mjinga wa kutambua ni ipi Itikadi sahihi na ya kweli Kisiasa?

    ReplyDelete
  10. Wimbi la kushindwa Uchaguzi CDM la la muhimu msije kuingia Musituni!!!

    ReplyDelete
  11. Japokuwa wananchi wamechoka na yanayofanywa na viongozi wabadhilifu, na kulindana ndani ya CCM lakini Chadema naona kwa sasa hawaja-qualify kuwa chama cha watanzania wote (Makabila yote,Dini na itikadi zote n.k). Viongozi wa vyama vingi huwa wasafi mdomoni ila kwenye mioyo yao na WANAOWAFADHILI kuna HIDDEN AGENDA. Naona mabadiliko ya kisiasa Tanzania yanaweza kufanywa na muungano wa vyama vya upinzani vitakavyowakilisha watanzania wote.

    ReplyDelete
  12. Ni jambo la ajabu kabisa Msukuma chapa ya ng'ombe kuwa Chadema!

    Hao huko Mwanza sio Wasukuma kamili, ni vile Msukuma daima ni mkulima na mfugaji na kwa vyovyote Itikadi yake ni Jembe na Nyundo!

    Kwani hatuwafahamu Wasukuma wa kweli?

    ReplyDelete
  13. Wasukuma Mwanza achaneni na Chama cha ITIKADI YA KICHAGGA!

    Hao watawatumbukiza katika vita kwa machafuko na mkashindwa kufuga ng'ombe wenu kwa kuhamia msituni!

    ReplyDelete
  14. Je, Mwanza kuna madiwani wangapi wa CHADEMA? Na wa CCM ni wangapi? Jibu la maswali haya ndo litamaliza ubishi. La sivyo watu mwaweza kuwa MAKASUKU bila sababu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...