Rais wa Kenya Mwai Kibaki katika picha ya pamoja na Spika wa Bunge la Afrika Mashariki Margaret Zziwa (wa pili kushoto) na Wabunge wa Afrika Mashariki mara baada ya kufungua na kuhutubia Bunge hilo lililoanza wiki iliyopita jijini Nairobi, Kenya.
Wabunge wengine akiwemo Abdullah Mwinyi naye akisalimiana na Rais Mwai Kibaki.
Wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki.
Sehemu ya wabunge wakimsikiliza Rais Kibaki
Maafisa wa Bunge la Jamhuri ya Muungano katika picha ya pamoja na Mbunge Shy-Rose Bhanji mara baada ya ufunguzi.



nafasi hizo kazipigania kwa muda mrefu huyo dada shy rose bhanji naona dream yake imekamilika kuwa mbunge.
ReplyDeleteThanks to Mzee Kibaki...the think tank ya Republic of Kenya. Twaona maendeleo baba
ReplyDeleteMjengoni Bunge la Kenya:
ReplyDeleteEnheee huko ndio kubana matumizi kwa muonekano wa ndani kuanzia viti huwezi amini kuwa ni mjengoni Bungeni unaweza fikiri ni ndani ya Mahakama ya Mwanzo!
Jamaa mabahili sana ndio maana wana maendeleo, inaonyesha hata A/C viyoyozi hakuna!,,,ni kavu kavu mafeni tu!
Je, kwa Bunge la Kenya na aina yao ya viti utaweza kukuta Mbunge ameuchapa usingizi?
Je Bunge letu ndani mjengoni si kama Paradiso?
Hapa ni ndani ya Bunge la Kenya Mjini Nairobi ama ni Ukumbi wa Manispaa Wilaya huko Machakos?
ReplyDeleteInaonyesha haya viyoyozi hakuna tofauti na ile PARADISO yetu kule Dodoma!
Hivi kwa makochi hayo ya mjengoni kwa watani wetu wa jadi kuna Mheshimiwa aneyeuchapa usingizi?
Ama kweli Bongo Tambarale, Bongo peponi!
ReplyDeleteNdio maana Wakongo, Wahindi na Wachina Bongo kwao ni kama Majuu ati!
Hivi ndio ndani mjengoni Kenya kweli?