Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. haha niliona hiyo documentary kwenye aljazeera jamaa akitoroka jela kwa kujivalisha nguo za mwanamke na kujipamba kwa mapambo ya mwanamke na matokeo yake aliweza kutoja jela kila geti analopita walinzi wa jela walikuwa wakimchekea na kumtamani hahahaha ilikuwa kali sana

    ReplyDelete


  2. Duu kazi kweli kweli ,,,, hiyo Africa bwana Uncle asante sana kwa kuweka hii documentary nimejifunza sanaa nakumbuka wakati hayo mauaji yanatokea nilikua na miaka 11 sikujua chochote ningeomba jamani wahandishi wa Tanzania waandae na documentary ya karume pia ili tujue kilicho tokea..

    Tatizo moja bongo internet sucks am sure ni wachache sana wataweza kuangilia hii video yoote

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...