Timu ya FC KILIMANJARO ikiwa kwenye picha ya pamoja kabla ya kuingia uwanjani.Timu hiyo imepanda daraja katika msimu wa kwanza wa ligi daraja la saba nchini Sweden huku ligi ikiwa imebakisha mechi 5 iishe kwa kuifunga Cool Runnings IFK kwa bao 10 - 1
Furaha ya Ushindi wa wachezaji wa yimu ya FC KILIMANJARO baara ya kuwapa kipigo cha mbwa mwizi kwa kuichabanga Timu ya Cool Runnings IFK mabao 10 - 1.
hali ya mchezo ulivyokuwa.
Kikosi kazi ndani ya Chumba cha Mapumziko.







Hivi kama tunapenda maendelea kuna hata kiongozi yoyote wa chama cha mpira au katika sekta za vijana na michezo wanaoifuatilia hii fc kilimanjaro na ni jinsi gani ya kuisaidia au tunangoja mpaka ifike juu ndio tuitolee macho? maana naona inaenda tu hatujui iko vipi wala malengo yake ghafla tunasikia imepanda daraja kama ikiwa inapanda kila mwaka si fahari ya Nchi yetu? miaka sita siyo mingi kucheza ligi kuu ya Ulaya kimchezomchezo
ReplyDelete