Home
Unlabelled
hii imekaaje wadau??
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Ukianika chini wezi ni wengi.
ReplyDeleteHuo ni mtandao wa madawa ya kulevya ndiyo alama zao. Hapo kwa karibu kuna muhaderati wa kutosha si haba.
ReplyDeletezanzibar choka mbaya
ReplyDeleteCHOKA WAPI WEWE,WAMBIYE WAKUU WAKO WACHIYE NGAZI HUU MUUNGANO NDO UTAJUA CHOKA AU CHOKAAAA.
ReplyDeleteYOO MICHUZI USITUYAYUSHE BRO, NJOO, NEW YORK MITAA YA BRONX NA BROOKLYN NA HARLEM UJE UJIONEEE WATU WANATUPA VIATU KWENYE WAYA KAMA KAZI KAMA KATIKA PICHA HII ULITUWEKEA WACHA UCHOKOZI MICHUZI
WAZANZIBARI OYEE WANARUDI HOME KUJAKUTEMBEA WANAWALETENI STYLE YA MAREKANI SO USISHANGAYE.
Michu, picha kama hizi zinatuharibia sifa zetu na hata kutukosesha watalii, Zanzibara inasifika kwa beach nzuri na amani, sasa kama utarusha picha zenye ukweli wa hali halisi !!!! duh !! mambo mengine ni kumezea tu. Ukweli ndiyo huo, bado tuko nyuma. Na tannesco ndiyo kwanza wana ponda mali kufa kwaja,badala ya kupitisha nyaya zao chini ardhini kama wanavyofanya dunia zingine. Zebedayo msema kweli
ReplyDeleteKwani kuna watu bado tu hawajui maana ya viatu hivyo? kuna namna ya kusoma ili ujue ni kuelekea upande upi uweze kupata what we call Mihadarati...
ReplyDeleteNakubaliana na anon aliyesema kuhusu mtandao wa madawa.Hata Dar sehem nyingi ipo na nijuavyo mimi inamaana kuwa bangi inapatikana sehem hiyo
ReplyDeleteMaana yaeke hapo chini wanauza UNGA
ReplyDeleteMdau wa New York Anonymous wa Mon Sep 03, 01:36:00 AM 2012
ReplyDeleteHeee kutundika viatu juu ya waya kwa kuwa inafanywa Marekani na wewe Mzanzibari unaleta nyumbani?
Huo ni ubwege mtozeni!
NDIO MAANA NYIE WAZANZIBARI HAMUWEZI KUJITAWALA NDIO MAANA TUNATAKA MUUNGANO UENDELEE.
ANGALIA UPUUZI HUO NINYI NI WAISLAMU WAZURI LAKINI KAMA HIVYO MNAWEKA ALAMA ZA KUASHIRIA MATUMIZI YA MADAWA YA KULEVYA?.
AMA KWELI UNAWEZA KUJIITA MSTAARABU NA UKAWA HUJASTAARABIKA!
Kutunsika vuatu juu ya kamba ni dalili ya ubwege!
ReplyDeleteNyie wazenji miaka nenda miaka rudi umeme mlikuwa hamlipi tokea Mapinduzi 1964 hadi mwaka 1995 ndio mmeanza kulipa.
Leo mNaanza kulipa mnaleta mgomo kwa kutundika viatu juu ya kamba?
hapo kuna danguro la kubwia unga polisi wapige msako watawakuta jamaa
ReplyDeleteZANZIBAR ILIKUWA PARADISO MPAKA ILIPOUNGANA NA BARA. HIZI DAWA ZA KULEVYA NI MTINDO WA WATU FULANI KUHARIBU MAENEO YENYE UTAMADUNI WA KIISLAMU. KENYA INASEMEKANA MADAWA YA KULEVYA NA KURUHUSU KHAT NI SERA YA SERIKALI NA WADAU HAO HAO WANAOPANGA NJAMA ZA KUANGAMIZA SEHEMU ZENYA TAMADUNI ZA KIISLAMU.
ReplyDelete