Home
Unlabelled
jamani!!!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
gari hii imepigwa breakdown ama ni skrepa!
ReplyDeleteImeuzwa jamani!
ReplyDeleteScrepa hilo
ReplyDeletemambo ya scraper hayo ndugu kazi kweli kweli!!!
ReplyDeleteSi mchezo msukuma Mkokoteni haamini macho yake kuwa gari 'yao jamaa' na yeye leo ameibeba!
ReplyDeleteTukio hili ni kama kumshika Simba aliyehai sharubu zake na asikudhuru!
ReplyDeleteHiyo ni Deal !!!
ReplyDeleteKule Gereji ya Polisi wameandika ktk madaftari ya magari kuwa wameiuza kwa vile ni Skrepa wakati ikiletwa Gereji za mchangani za KEKO NA MWEMBE YANGA TEMEKE inapona kwa gharama ya Laki 3 tu !
Tena usije shangaa mununuzi wa 'Skrepa' hilo ni Afisa wa hapo hapo Kitengoni!
Msela mwendesha Mkokoteni haamini amini kama ni kweli ni ktk Mkokoteni wake nameibeba gari ya Polisi ile ile inayotisha kama Chui?
ReplyDeleteNdio maana amebaki amekenua akiwa hajiamini kabisa, anahisi kama wanaweza wenyewe kutokea wakipaza sauti hivi:
...''AROO WEWE RAIA MUSERA HIRO RIGARI RETU UNARIPEREKA WAPI?
...''TAFADHARI SIKIRIZA AMURI YA MIMI SAJENTI MARWA!
...''SIMAMA NA TURUDI KITUONI SITAKI SHARI TUKAANDIKE RB KIZIBITI NI HIRO RIMUKOKOTENI RAKO NA GARI RETU NA TUMESHAKU ARESITI HAPO HAPO TUNAKUWEKA SERO !!!
Ahhh hii hapana!
ReplyDeletePolisi ktk Gereji yao na magari ya Kurasini Ufundi inauwezo mkubwa wa kukarabati magari ya zamani kama yale mabasi yao ya Leyland CD itakuwa hii Toyota ya juzi tu?
Ahhh !!!
ReplyDeleteWewe raia na mukokoteni wako simama mara moja!
Amri moja!
Sajenti Chacha unariona rituhumiwa rire na mukokoteni wake?
1.Enhee raia unatoka wapi?
2.Enhee raia unakwenda wapi?
3.Afande nani amekuruhusu?
4.kibari kiko wapi?
5.una risiti?
reo maswari hayo matano ukishindwa unavua mukanda unavua viatu unarara rokapu!
Swari ni moja tu kutoka kwa mimi Inspekita Magessa,
ReplyDelete1.RISITI YA HUO MUZIGO IKO WAPI?
Hapo hapo!
ReplyDeleteSimama tii amuri yangu mimi Sajenti Byarugaba!
Ninauriza unatoa muzigo Kituo gani na unapereka muzigo Kituo gani?
!!!
Mdau wa Wed Sep 19, 11:14:00 AM 2012
ReplyDeleteHii inadhihirisha ni vipi hawa watu wa Mamlaka wanaendesha mambo kwa kanuni kama vile suala la kuwa na karatasi kwa ajili ya kitu.
Isipokuwa kupitia 'dirisha' hili hili ndio mambo yanaanza kupindishwa kwa vitu kama kutoa kitu kidogo ili mzigo upite!
Ina maana Sajenti Byarugaba anataka kujua mzigo unatokea Kituo gani cha Polisi na unepelekwa Kituo gani cha Polisi ?
Na je Mkuu wa Kituo hicho au Mkuu wa Kituo huko unakopelekwa mzigo ametoa Kibali cha mzigo?