MNYAMA AMBAYE KUONEKANA KWAKE NI KWA NADRA SANA NA AKIONEKANA HUPANGIWA VITU ILI AELEKEE KWENYE KITU ATAKACHOKIPENDA IKIWA NI IFARA YA UTABIRI AFAHAMIKAYE KWA JINA LA KAKAKUONA,AMEJITOKEZA MJINI KILWA MKOANI LINDI JANA NA BAADA YA KUPANGIWA VITU MBALI MBALI YEYE ALIKIMBILIA KATIKA COMPRESA YA GESI NA KUIRAMBARAMBA,HUKU TAYARI WILAYA HIYO IKIWA NA RASLIMALI KUBWA YA MAENEO YA GESI.
KAKAKUONA AKIWA AMEPANGIWA VITU.


ok,
ReplyDeleteila kilwa ni mkoa wa LINDI na si MTWARA
Gesiiiiiiii hureeeeeeeeeeeeee!
ReplyDeleteKalaghabao! nani kawaambieni italeta neema Tz.? Ufisadi uliopo NCHINI kamwe hakutakuwepo na NEEMA yoyote saana sana ni VITA tu kwa UFISADI wa wachache
Poleni sana kwa kutotambua nchi yenu kwanza kilwa haiko mkoa wa mtwara,kama kweli ni kilwa ni mkoa wa lindi na wilaya ya kilwa,na kilwa ziko nyingi kuna kilwa kipatimo,kilwa kivinje,kilwa masoko na kilwa kisiwani,kwa maana hiyo kilwa sio moja na julisha umma kilwa ipi.
ReplyDeleteJamani imani hizi!
ReplyDeleteLets go the ways allah wants us to. Kila kitu kitakua poa.
Ok kalamba compressor unafikiri hyo gesi utaenjoy matunda yake?
Itagemwa yote tena na foreigners + viongoz wachache.
Eti kalamba compressor !!!!!!!
HUU UTANI KWELI, Allah Akbar
ReplyDeleteTusiogelee Imani! Tuongelee point zengine tuacheni utani dah HATA KAKAKUONA KACHOKA NA JEMBE?? Hehehehe! KAKIMBILIA MAMBO YA GESI ANAHITAJI UMEME NA TANESCO MPO?
ReplyDeletehuyu mnyama kwa nini asikamatwe na kupelekwa ikulu akafanyakazi ya kutabili maisha yetu au chama kipi kitashinda nakadhalika ?? kama anaonekana kwa nadra,lakini anapoonekana munamwachia ,kwa nini ??? kwa nini asiwekwe kwenye zoo. Zebedayo msema kweli
ReplyDeleteTokea nikiwa mdogo (tangia 1985) nimekuwa nikisikia tu kuwa kakakuona ni mnyama anayeonekana kwa nadra sana. Hadi leo stori ndio hizo hizo. Sasa nimeelimika ni ninashangazwa sana na habari za namna hii. Huyu mnyama ni extinct (anapotea katika sura ya dunia), nivyo hatua madhubuti zilipaswa kuchukuliwa tokea zamani sana kuepusha hilo. Sasa natafiti mawaziri wa mazingira/maliasili waliokuwepo tokea wakati ule hadi leo na ninapata picha mbaya sana juu ya viongozi wetu wote kwa ujumla.
ReplyDelete