Mkurugenzi wa Uendelezaji Biashara wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC),David Shambwe (katikati) akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) jijini Arusha leo wakati wa uzinduzi wa mauzo ya majengo ya Levolosi. Uzinduzi huo umefanyika leo jijini humo.Kulia kwake ni Meneja Masoko na Utafiti,Itandula Gambalagi.
Baadhi ya majengo mapya yaliyouzwa yakiendelea na ujenzi.
Picha ya pamoja baada ya uzinduzi wa mauzo ya nyumba za levolosi jijini Arusha leo


ReplyDeleteKwa mnaojua, tafadhali tujulisheni BEI na utaratibu unaofuatwa katika kununua hizo nyumba.
Au wapi tunaweza kupata hizi taarifa.