Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dkt. Fenella Mukangara akikabidhiwa rasmi Ripoti ya Kamati ya Vazi la Taifa leo Jijini Dar es Salaam. Kamati hiyo imekabidhi rasmi ripoti yake kwa Mhe. Waziri ambapo pamoja na mambo mengine inaainisha mapendekezo mbalimbali ya vitambaa vinavyopendekezwa kuwa Vazi la Taifa.
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dkt. Fenella Mukangara akionyesha Ripoti ya Kamati ya Vazi la Taifa kwa Waandishi wa Habari ( hawapo pichani) mara baada ya kukabidhiwa rasmi Ripoti hiyo leo Jijini Dar es Salaam. Wengine ni baadhi ya Wajumbe wa Kamati hiyo.Picha na Concilia Niyibitanga –Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Hayo mavazi waliovaa ni ya Kinigeria!!

    ReplyDelete
  2. mbona wanaokabidhi report wenyewe hawajavaa japo kuonyesha mfano? wamevaa kinigeria na kizungu dh hii kali, u preach what u dont practice"

    ReplyDelete
  3. napenda sana style ya nywele asukayo Mhe. Waziri (mama fenella)hii inaitwa (twende Kilioni)kila nimuonapo ameisuka style hii.Unapendeza sana mamii, hongera utakapounganisha na vazi la taifa itakuwa poa!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...