Mimi ninauza Laptop ya Memory 1 GB, Hard 
disk 40GB processor ni Intel centrino
Bei ni sh. 380,000/=, 
kwa ununuzi.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. duh !!! wee!! unaua, laki karibia 4 pesa hizo kwa laptop isiyokuwa na darasa kubwa!!.juzi nilikwenda China ,huko kama hiyo ni $ 20 hadi 30. ukitaka laki na nusu nitakupa,maana mwanangu anachezea hii ya kwangu,bora naye awe na yakwake.Zebedayo msema kweli

    ReplyDelete
  2. hahaaa hiyo uza laki moja 40gb hata simu yangu imeizidi bwana,

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...