Mmoja wa wapiga picha hodari wa jijini Mbeya (jina lake hakulipata kwa haraka) akiwajibika jioni ya leo kwenye uwanja wa Sokoine jijini humo wakati wa Mechi ya ufunguzi wa Ligi kuu ya Soka Tanzania Bara,kati ya timu ya Tanga na Tanzania Prisons ya jijini humo.
Wazee wa kazi wakiendeleza libeneke.
Sasa ni zamu ya wale wapiga picha ambao ni maprofeshno kwa kutumia vilonga longa,hapo hata wapiga picha wa za televisheni walishindwa kufanya intavyuu na Kocha wa Yanga kwa sababu ya hawa jamaa.
Du bongo kumejaa mapaparazi
ReplyDelete