Picha juu na Chini Wanafunzi wa shule mbalimbali za msingi na sekondari jijini Dar wakiwa wamebeba mfano wa Njiwa kuashiria Amani katika maadhimisho wakiandamana kuelekea ukumbi wa Karimjee katika maadhimisho ya Siku ya Amani Duniani leo.
Mratibu Mkazi wa Umoja wa Mataifa nchini Dkt. Alberic Kacou akimkaribisha Mgeni rasmi katika maadhimisho ya siku ya Amani Duniani aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Dkt. Asha-Rose Migiro
Kwa picha zaidi BOFYA HAPA
Kwa picha zaidi BOFYA HAPA
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...