Mjumbe wa Bodi ya SOS, Daudi Makobore akisaini mkataba wa utambulisho ( MOU) kati ya SOS na Tnzania Tea Blanders kwa ajili ya kuwasomesha watoto 40 kati ya watoto wanaolelewa katika kituo hicho.
Dk. Alex   Lengeju (Director of SOS Villages, Rita  Khuranga (National Director SOS, Dk. Daudi  Makobore (Bord member SOS) (wa mwisho kushoto) wakipokea mfano wa hundi kutoka Mr. D.Ravi Kumar-Chief  Finance Officer  Tanzania Tea Blanders, kwa ajili ya kuwasomesha watoto 40 kati ya watoto wanaolelewa katika kituo cha kulelea watoto yatima SOS, jijini Dar es Salaam

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Sio Tanzania Tea Blanders ni Tanzania Tea Blenders.

    ReplyDelete
  2. Wala si Khuranga ni Kahurananga. Lol!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...