Mpambano kati ya kampuni ya ujenzi ya Group Six International na Advent Construction company lilifanyika hivi karibuni mjini Moshi uwanja wa Muungano na Group Six kuibuka kidede baada ya kuichapa Advent goli 2-0. Kampuni zote mbili zinashirikiana kwa pamoja kujenga kiota kipya cha NSSF kitakachoitwa Kilimanjaro Comercial complex(KCC) mjini Moshi
Advent construction Ltd footbal team
Group six International footbal team
GSI wakishangilia goli la kwanza
Mashabiki wa GSI wakishangia baada ya timu yao kutoka kidedea
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...