Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Asha Bilal, akisoma hotuba yake ya ufunguzi rasmi wa semina elekezi ya siku moja iliyoandaliwa na Chama cha ‘Sherehe Arts Association’ (SAA), kujadili changamoto mbalimbali zinazolikabili soko la Biashara, kukuza ubunifu wa sanaa kwa wateja, masoko na elimu ya mitandao ya Kijamii. Semina hiyo ilifanyika juzi.
Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Asha Bilal, akimkabidhi Tuzo na zawadi, Mc Marry Mwanyato, aliyefanya vizuri kwa mwaka 2011-2012, wakati wa ufunguzi wa Semina elekezi ya siku moja iliyoandaliwa na Chama cha ‘Sherehe Arts Association’ (SAA), kujadili changamoto mbalimbali zinazolikabili soko la Biashara, kukuza ubunifu wa sanaa kwa wateja, masoko na elimu ya mitandao ya Kijamii. Semina hiyo iliyofunguliwa na Mama Asha Bilal, ilifanyika juzi.
Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Asha Bilal, akimkabidhi Tuzo na zawadi, Mc Brigita Kisenga, aliyefanya vizuri kwa mwaka 2011-2012, wakati wa ufunguzi wa Semina elekezi ya siku moja iliyoandaliwa na Chama cha ‘Sherehe Arts Association’ (SAA), kujadili changamoto mbalimbali zinazolikabili soko la Biashara, kukuza ubunifu wa sanaa kwa wateja, masoko na elimu ya mitandao ya Kijamii. Semina hiyo iliyofunguliwa na Mama Asha Bilal, ilifanyika juzi.
Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Asha Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na wanachama wa Chama cha ‘Sherehe Arts Association’ (SAA) baada ya ufunguzi wa Semina elekezi ya siku moja iliyoandaliwa na chama hicho kujadili changamoto mbalimbali zinazolikabili soko la Biashara, kukuza ubunifu wa sanaa kwa wateja, masoko na elimu ya mitandao ya Kijamii.Picha na OMR

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...