Mbunge wa Viti maalum mkoa wa Tanga Amina Mwidau (CUF), kikabidhi pampu ya Maji kwa Diwani wa kata ya Mwera Mkaidi Maisha(CUF),aliyemama kulia na kushoto ni Mtendaji wa kijiji cha Mwera Yoweli Halimoja.
Mbunge wa Viti maalum mkoa wa Tanga Amina Mwidau (CUF), kikabidhi, waya kwa ajili ua kufungia pampu ya maji kwa Diwani wa kata ya Mwera Mkaidi Maisha jana wilayani Pangani. Picha na Bakari Kimwanga, Pangani
Mbunge wa Viti maalum mkoa wa Tanga Amina Mwidau (CUF), akimkabidhi mpira kwa kiongozi wa timu ya Mwera FC Saidi Mohammed jana wilayani Pangani.


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...