Mkurugenzi Mtendaji wa Chama Cha Waandishi wa Habari Wanawake nchini (TAMWA) Ananilea Nkya, akimkaribisha Mbunge wa Afrika Mashariki Shy-Rose Bhanji katika Ofisi za TAMWA.
 Mbunge wa Afrika Mashariki Shy-Rose Bhanji akimkabidhi kiasi cha Shilingi milioni mbili, Mkurugenzi Mtendaji wa Chama Cha Waandishi wa Habari Wanawake nchini (TAMWA) Ananilea Nkya, ikiwa ni mchango wa mbunge huyo kwa TAMWA katika kuendeleza harakati zake nchini.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Safi sana! TAMWA keep up the excellent work!

    ReplyDelete
  2. Jamani kwani hakuna Cheque book mpaka mpeane malundo ya hela ambaoyo unahitaji mfuko wa Rambo kubeba. Ndio maana ujambazi hauishi. Tuachane na hii tabia ya cash society.

    ReplyDelete
  3. MAMA mKYA pOLE, NAONA umelazimika kupokea msaada na ndala, naona bandage kwa mbali.

    mh. shy acha ushamba na wewe!!

    Kuanzia nyegezi hadi leo huachi tu.
    meti... unatuangusha ma-meti zako.

    ReplyDelete
  4. weye hapo juu ,in bongo we deal with cash only, USA uchumi uliporomoka kwa sababu ya spend today pay later and when you cant pay ,file bankrupcy and go free, hizo ni tabia za kutowajibika na maisha ,na kupenda dezo na kulaumu serikali ikufanyie kila kitu.and mind you ,cheques zinazorotesha mzunguko wa pesa. halafu please be nice ,eti malundo ya pesa kwenye mfuko wa rambo, kama umechoka kalale.Zebedayo msema kweli

    ReplyDelete
  5. Hilo jicho la Mama Nkya kwa ShyRose mbona linahisia (kejeli,dharau,mshangao nk nk )nyingi kuliko majibu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...