Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Charles Kitwanga akifungua Mkutano wa Watalamu wa Mazingira wa Afrika kuhusu Maendeleo Endelevu Baada ya Mkutano wa Rio+20 Mkutano Umefuguliwa kwenye Ukumbi wa Mikutano wa AICC Mjini Arusha.
Baadhi ya Washiriki wa Mkutano wa Waatalamu wa Mazingira wa Nchi za Afrika Wakimsikiliza Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Charles Kitwanga (hayupo pichani) akifungua kikao cha Maandalizi ya Mkutano wa Mawaziri wa Mazingira Afrika, katika ukumbi wa AICC- Arusha.
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Charles Kitwanga akisalimiana na Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Mazingira Bw Richad Muyungi alipowasili Kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Arusha ICC tayari Kufunguwa Mkutano wa Wataalamu wa Mazingira barani Afrika unaofayika Mjini Arusha.{Picha na Ali Meja]


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...