Katibu Mkuu Wizara ya fedha, Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Ramadhan Khijah akizungumza wakati wa uzinduzi wa bodi mpya wa wakurugenzi ya Mfuko wa Akiba ya Wafanyakazi (GEPF) uliofanyika jijini Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki. Kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Akiba ya wafanyakazi GEP, Daud Msangi na Mwenyekiti mpya wa bodi ya GEPF, Joyce Shahidi.
Mkurugenzi Mkuu wa GEPF, Daud Msangi akizungumza wakati wa uzinduzi wa bodi mpya wa wakurugenzi ya Mfuko wa Akiba ya Wafanyakazi (GEPF) uliofanyika jijini Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki.
Mwenyekiti wa bodi iliyomaliza muda wake ya Mfuko wa wa Akiba ya Wafanyakazi (GEPF), iliyomaliza muda wake, Monica Mwamunyange akizungumza katika hafla hiyo.
Meneja Masoko wa GEPF, Aloyce Ntukamazina akizungumza katika hafla ya uzinduzi wa bodi hiyo
Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Ramadhan Khijah akimkabidhi zawadi,Mwenyekiti wa bodi iliyomaliza muda wake ya Mfuko wa wa Akiba ya Wafanyakazi (GEPF), iliyomaliza muda wake, Monica Mwamunyange kutokana na mafanikio yaliyopatikana kwa kipindi cha uongozi wake.


Were they always late for meetings and decision making or what?
ReplyDelete