Mabomu mawili yaliripuka Jumatano nje ya hoteli ambako waziri wa mambo ya nchi za nje wa Kenya alikuwa anazungumza na waandishi habari na Rais mpya wa Somalia alikuwa ndani ya hoteli hiyo.
Home
Unlabelled
Mripuko wa bomu nje ya Hoteli Jazeera Palace - VOA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...