Natumaini upo vizuri pamoja na Familia yako! mimi ni mdau mkubwa wa Blog yako, kuna kifaa ninataka kununua Amazon.com, ila sijui jinsi ya kukifikisha Arusha Tanzania. ni kifaa cha Muziki Powered Mixer yenye ukubwa wa 14 x 13 x 7 Inches ina uzito wa 17 Paunds naomba kama unafahamu gharaMa za kukisafirisha au uniwekee kwe blog yako wadau wanisaidie
Asante
Mdau Majuu
Anwani ya posta inatosha, nimeshawahi kununua kitabu amazon na wakanifikishia anwani yangu ya posta, nikaenda kuchukua bila ya tatizo.
ReplyDeleteAsante Mkuu
ReplyDelete