Kwenye http://sevennaturalwonders.org/category/africa/ Mlima Kilimanjaro ni wa pili na Animal  Migration inashika nafasi ya nne kwa maajabu Afrika, Watanzania tuendelee na tuendelee kuvipigia kura vivutio vyetu. Mie sioni mantiki kabisa ya Red Sea Reef kuongoza hadi sasa. Shime wadau!

Msimamo ni kama ifuatavyo:

1:Red Sea Reef
2:Mount Kilimanjaro
3:Sahara Desert
4:Serengeti Migration
5:Tsingy de Bemaraha
6:Avenue of the Baobabs
7:Ngorongoro Crater

Mdau David V 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Mbona shida sana ku-log in?

    Kura mnataka halafu mnaweka process ndefu ya kupiga kura! Mi nimeshindwa kuvote nisaidieni mnaojua nifuate taratibu zipi?

    ReplyDelete
  2. Mdau David V.

    Ahsante sana mwanandugu kwa ufunguo huo uliotupatia!

    Isipokuwa palihitajika maajabu haya yawe 9 na sio saba tu!

    Mawili makubwa yapo Tanznaia:

    (8)Kikombe cha Babu Loliondo.
    (9)Profesa wa Mtaala wa Biashara hata kama ni wa ngazi ya Chuo Kikuu ktk Tanzania kushindwa hata kumudu kuendesha bishara ya genge au Kiosk cha soda!.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...