ASSALAM ALYKUM WARAHMATULLAHI WABARAKATUH:
JUMUIYA YA WAISLAM WA SLOUGH (EAST AFRICAN  COMMUNITY SLOUGH) INAPENDA KUWATANGAZIA 
WAISLAM WOTE KUTOKA SEHEMU ZOTE ZA UINGEREZA (UK) 
KUA IMEANDAA MUHADHARA MAALUM WA KIISLAM KWA WAISLAM WOTE WA KIKE NA KIUME, WADOGO NA WAKUBWA
UTAKAOFANYIKA SIKU YA JUMAMOSI, TAREHE: 06-10-2012,MUDA NI SAA SABA NA NUSU MCHANA (1:30 PM)  
 MAHALA NI (ADDRESS) DARVILLS LANE, CHALVEY, SLOUGH, SL1 2PH.
 MAADA ITAKUA NI “TARBIYA” (MALEZI) MUHADHIR ATAKUA NI “USTADH ABUU” KUTOKA READING,
NA USTADH OMAR "KUTOKA SLOUGH" MADA NI KUTOA KATIKA NJIA YA ALLAH,NYOTE MNAKARIBISHWA KUJA KUPATA MAWAIDHA KWA AJILI YA 
KUZITAKASA NA KUKUZA IMANI ZETU KWA AJILI YA ALLAH
KWA VILE NAFSI SIKU ZOTE ZINATAKA KUKUMBUSHWA NA KUHOFISWA JUU YA ALLAH
TAFADHALI UKIPATA UJUMBE HUU FANYA SADAKA YAKO KWA KUMFIKISHIA NA MWENGINE.
KWA MAWASILIANO ZAIDI TAFADHALI WASILIANA NA
 USTADH OMAR: 07404711889
 UKHTY SOFIA:  07405158598
 UKHTY: TATU:  07405189159
 UKHTY FATMA: 07424674080
JAZZAKUMULLAHULKHAIRY.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Malkia wa UK ameshasema watoa mawaidha ya kuwatia jazba watu wafukuzwe UK sasa shauri yenu na hizo khutba zenu. Kama mwataka rudi bongo mlikokukimbia kwa shida au mbaki UK mle raha za dunia, kazi kwenu sasa. Mwenzenu mwenye mkono wa chuma wanamfukuza karibuni baada ya Malkia kuingilia kati!!

    ReplyDelete
  2. Tulio rudi bongo mlitufanya nini? Wana sisasa nyumbani ndiyo walio faidika kuwa tumia hawa vijana na kuwa danganya na kupoteza maisha yao huo ndiyo ukweli.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...