Mtanzania na Mwanalibeneke wa kwanza kublogu kwa Kimatumbi (Kiswahili), Ndesanjo Macha (kushoto) akipokea Tuzo ya Blog Bora Afrika ya TEHAMA,Ndesanjo Macha ambaye ni kinara wa Watanzania walio wengi ambao wamejifunza masuala ya blogu na kublogu ameibuka mshindi katika mashindano yaliyoendeshwa na Highway Africa http://www.highwayafrica.com/ . Ushindi huo ameupata kutoka katika taasisi inayoheshimika sana duniani na ni heshima kubwa kwa Ndesanjo ambaye unaweza kusoma zaidi habari zake katika libeneke hili globalvoicesonline.org/author/ndesanjo-macha/. Unaweza kusoma zaidi kuhusu tuzo hiyo aliyoshinda pia.
Hapo chini ni ujumbe wake kwa wanachama wa Taasisi inayokusanya, kusambaza na kukuza sauti za majadiliano ya kwenye mitandao ya Internet http://globalvoicesonline.org/. Taasisi hiyo ina ukurasa wa lugha ya Kiswahili pia http://sw.globalvoicesonline.org/.
Hi,
The 16th Highway Africa Conference, taking place at Rhodes University, ended yesterday. The Telkom-Highway Africa New Media Awards 2012 were in three categories:
Innovative newsroom – newsrooms across Africa can submit nominations based on their innovative use of digital media including online, social and mobile media.
Best African ICT Blog – Followers or bloggers may nominate an African-based or diasporic African blog based on its coverage, debate and use of ICTs within the African context.
Innovative use of technology for community engagement – members of communities, organisations, or supporters may nominate an organisation (either corporate or non-profit) based on their innovative use of technology within a community in Africa. The organisation does not have to be African based, but the community in which they operate must
be.
You can read more about the awards here:
Global Voices Online SSAfrica won the Best African ICT Blog (an African-based or diasporic African blog based on its coverage,debate and use of ICTs within the African context).
We received a coveted trophy and a touch screen book reader (wifi enabled).
I would like to thank our volunteer authors/translators. They are heroes and heroines and the real winners of this award. Without their efforts, we will not be where we are today. Highway Africa this year showed me the kind of respect that we have from our audience. We got this award because of your work and dedication.
Telkom-Highway Africa award shows that our work is not in vain.
We are helping our continent to rise through our roundups and amplification
of citizen media stories.
Asante sana my people!
ndesanjo
Picha zote kwa hisani ya: Ettione Ferreira anayepatikana hapa http://ettophotography.wordpress.com/
Globu ya Jamii na timu yake nzima inatoa pongezi sana kwa Mwanalibeneke Ndesanjo Macha kwa kuipeperusha vyema bendera yetu ya Tanzania na Afrika ya Mashariki kwa ujumla katika ulimwengu wa TEHAMA (ICT).
Hongera Sana Mdau Ndesanjo Macha.
Mwanalibeneke Nguli,Ndesanjo Macha akiwa na Tuzo yake hiyo.
Ndesanjo Macha akiwa na mshindi mwenzie
Hii ndio Tuzo aliyoshinda Ndesanjo Macha.
Washindi wote katika picha ya pamoja.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...