Mkurugenzi Mtendaji wa Tume ya Kikristo ya Huduma za Jamii (CSSC) Bw. Peter Maduki akitoa neno la shukrani kwa mgeni rasmi Naibu waziri wa afya na ustawi wa jamii Dk. Seif Rashid baada ya kufungua mkutano huo.
 Mwenyekiti wa TCMA, Dk. Isaya Tosiri (kushoto) akiwa na Katibu wake Dk. Mark Bingileki  wakiongea na waandishi wa Habari baada ya ufunguzi wa Mkutano huo.Mgeni Rasmi, Naibu Waziri wa Afya Na Ustawi wa Jamii, Dk. Seif Rashid(Kati) akiwa  meambatana na Mwenyekiti wa TCMA, Dk. Isaya Tosiri (kushoto) na Dk. Mark Bingileki wakielekea katika ukumbi wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) kufungua mkutano wa 75 wa Chama cha Madaktari wa Kikristo Tanzania (TCMA).Picha na habari na Afisa Habari
Mgeni Rasmi, Naibu Waziri wa Afya Na Ustawi wa Jamii, Dk. Seif Rashid(Kati) akiwa ameambatana na Mwenyekiti wa TCMA, Dk. Isaya Tosiri (kushoto) na Dk. Mark Bingileki wakielekea katika ukumbi wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) kufungua mkutano wa 75 wa Chama cha Madaktari wa Kikristo Tanzania (TCMA).Picha na habari na Afisa Habari TCMA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Mkutano wa 75 wa Chama Cha madaktari WAKRISTO TZ! Mmeonaeee?

    Waislamu nasi tuko wapi? tumekalia majungu tu kila kukicha! Oh! Mufti hatufai! Oh Maandamano! wakati wenzetu wanaruka sie tutakuwa hata kutambaa bado!

    ReplyDelete
  2. we zoba tu unafikiri hakuna madaktari waislamu?
    tupo na hatuhitaji chama.chama cha madaktari tz kinatosha kwani ni kwa maslahi ya wote, toa upuuzi wako we mjema.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...