Meneja wa Mawasiliano wa NMB, Josephine Kulwa (katikati) akizungumza katika hafla ya kukabidhi zawadi za washindi wa Bibi Bomba. Kulia ni Meneja wa vipindi wa Clouds Tv, Wasiwasi Mwabulambo.
Meneja wa Mawasiliano wa NMB, Josephine Kulwa (kulia) akimbidhi mfano wa hundi yenye thamani ya sh milioni tano mshindi wa kwanza wa shindano la Bibi Bomba, Veronica Mpandala Matia mkazi wa Mikocheni A katika hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam leo. Katikati anayeshuhudia ni Meneja wa vipindi wa Clouds Tv, Wasiwasi Mwabulambo.
Washindi
wa Bibi Bomba, Kutoka kushoto ni Mshindi wa kwanza, Veronica Mpandala
Matia kutoka Mikocheni jijini Dar es Salaam, Anna Said mkazi wa
Mikocheni na Nasra Mohamed Abdullah mkazi wa mjini Zanzibar.
Washindi wa Bibi Bomba wakiwa kwenye picha ya pamoja na maofisa NMB na Clouds tv baada ya makabidhiano hayo yaliyofanyika kwenye ofisi za Clouds Media.


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...