Mwenyekiti wa Baraza la Ardhi Wilaya ya Kinondoni Charles Mnzava (kulia) akichangia mjadala leo jijini Dar es salaam kuhusu matokeo ya utafiti kuhusu migogoro ya ardhi inawakabili wanawake . Mkutano huo ulikuwa na lengo la kupatia matokeo ya utafiti ulifanyika katika Mkoa wa Dare s salaam na Tanga ulifadhiliwa na TAWLA. Kushoto ni Mwenyekiti wa Baraza la Ardhi wilayani Ilala Raphael David.
Jaji wa Mahakama Kuu Patricia Fikirini(kulia) akitoa maoni yake leo jijini Dar es salaam kuhusu mjadala kuhusu matokeo ya utafiti kuhusu migogoro ya ardhi inawakabili wanawake . Mkutano huo ulikuwa na lengo la kupatia matokeo ya utafiti ulifanyika katika Mkoa wa Dare s salaam na Tanga ulifadhiliwa na TAWLA. Kushoto ni Jaji wa Mahakama ya Rufaa Mstaafu Eusebia Munuo.
Mwenyekiti wa Chama cha Wanawake wanasheria Tanzania (TAWLA) Aisha Bade (kulia) akitoa ufafanuzi leo mjini Dar es salaam kuhusu matokeo ya utafiti kuhusu migogoro ya ardhi inawakabili wanawake . Mkutano huo ulikuwa na lengo la kupatia matokeo ya utafiti ulifanyika katika Mkoa wa Dare s salaam na Tanga ulifadhiliwa na TAWLA. Kushoto ni Hakimu Mkazi Wilaya ya Ilala Tarsua Kesoka.
Baadhi ya wadau wakiwa na wanachama wa Chama cha Wanasheria wanawake Tanzania (TAWLA) wakiwa mkutano leo jijini Dar es salaam ulikuwa unajadili matokeo ya utafiti kuhusu migogoro ya ardhi inawakabili wanawake . Mkutano huo ulikuwa na lengo la kupatia matokeo ya utafiti ulifanyika katika Mkoa wa Dare s salaam na Tanga ulifadhiliwa na TAWLA.Picha na Tiganya Vincent- MAELEZO-Dar es salaam






Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...