Mkurugenzi Mkuu wa mfuko wa Pensheni (PPF), William Erio, akitoa hotuba wakati wa chakula cha jioni kilichoandaliwa na mfuko huo kanda ya Temeke kwen ye kituo cha Quality barabara ya Nyerere jijini Dar es Salaam Septemba 20, 2012. Kulia ni Meneja wa kanda ya Temeke wa mfuko wa PPF, Erica Sendegeya.
Mkuu wa wilaya ya Temeka jijini Dar es Salaam, Sophia Mjema (Kushoto), akitoa hotuba yake kwenye chakula cha jioni kilichoandaliwa na mfuko wa pensheni wa PPF, kwa wateja wa kanda ya Temeke jijini Dar es Salaam Septemba 20, 2012. Kulia, ni meneja wa kan da hiyo wa PPF, Erica Sendegeya.
Mkurugenzi Mkuu wa mfuko wa Pensheni wa PPF, William Erio(Kushoto), akiwa na mkurugenzi mkuu wa shirika la nyumba la taifa (NHC), Nehemia Mchechu wakati wa hafla ya chakula cha jioni kilichoandaliwa na mfuko huo kanda ya Temeke kwa ajili yab wateja wa kanda hiyo jijini Dar es Salaam Septemba 20, 2012 .
Mkuu wa wilaya ya Temeke jijini Dar es Salaam, Sophia Mjema (Kushoto), akizungumza na mkurugenzi mkuu wa mfuko wa pensheni wa PPF, William Erio (Katikati) na mkurugenzi mkuu wa shirika la nyumba la taifa (NHCo), Nehemiah Mchechu, wakati wa chakula cha jioni kilkichoandaliwa na mfuko huo kanda ya Temeka na kufanyika kwenye kituo cha Quality jijini Dar es Salaam Septemba 20, 2012.
Mkuu wa wilaya ya Temeke jijini Dar es Salaam, Sophia Mjema (Watatu kulia), akiongozana na mkurugenzi mkuu wa VETA, Zebadia Moshi (Kulia) na mkurugenzi mkuu wa NHC, Nehemiah Mchechu, kuchukua chakula wakati wa hafla ya chakula cha jioni kilichoandaliwa kwa ajili ya wanachama wa mfuko huo kanda ya Temeke jijini Dar es Salaam Septemba 20, 2012.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...