Mkurugenzi wa Maswala ya TEHAMA wa Mfuko wa Pensheni wa PPF,Bw. Robert Mtendamema, akizungumza kwenye hafla ya kutoa msaada kwa watoto yatima wa kituo cha New Life, Kigogo jijiji Dar Es Salaam jana.Katikati ni meneja mafunzo wa Kampuni ya Laserfiche kutoka Marekani , Pieter Naut akifuatiwa na Meneja Uhusiano wa Mfuko wa pensheni wa PPF, Bi.Lulu Mengele.
 
Mkurugenzi wa Maswala ya TEHAMA wa PPF Pensions Fund, Bw. Robert Mtendamema (Katikati), meneja mafunzo wa Kampuni ya Laserfiche kutoka Marekani,Pieter Naut (Watatu kulia) ni afisa uhusiano wa Mfuko huo,Ms. Janet Ezekiel, wakigawa vifaa kwa watoto yatima wakituo cha New Life Orphanage Centre kilichoko Kigogo Randa Bar jijini Dar es Salaam jana. Msaada huo ulitolewa na Nauta ambaye alikuwa nchini kutoa mafunzo ya IT kwa wafanyakazi wa PPF ambapo wanatumia system hiyo. System hiyo hutumika kutuma document kutoka Idara mmoja kwenda nyingine bila kuzunguka na mafile. System hii imepunguza matumizi ya karatasi.
 
Bw. Robert Mtendamema (Kushoto), akizungumza jambo na meneja mafunzo wa Kampuni ya Laserfiche kutoka Marekani, Pieter Nauta, wakati wakitoa msaada wa vifaa mbalimbali kwa kituo cha kulea watoto hatima cha New Life , Kigogo jijini Dar es Salaam.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Michu, hivi UBA ndio walilizwa vile 'vijisenti' pale Pugu au ni benki gani? zinachanganya sana hizi benki siku hizi mara UBA, CBA, CPU nk

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...