Waziri wa Fedha,Mh. Willium Mgimwa (kulia) akisalimiana na Mwenyekiti wa Bodi ya Watendaji ya Benki ya United Bank for Africa (UBA) Jenerali Robert Mboma kwenye uzinduzi wa kadi ya malipo ya kabla ijulikanayo kama ‘’Africard’’ ambapo Waziri aliisifu taasisi hiyo kwa kutoa huduma nzuri za kifedha. Picha na Rafael Lubava.
Waziri wa Fedha, Willium Mgimwa (kulia) akisalimiana na Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki United Bank for Africa (UBA) kutoka Nigeria, Gabriel Edgal kwenye uzinduzi wa kadi ya malipo ya kabla ijulikanayo kama ‘’Africard’’ ambapo Waziri aliisifu taasisi hiyo kwa kutoa huduma nzuri za kifedha. Katikati ni Mwenyekiti wa Bodi, Jenerali Robert Mboma. Picha na Rafael Lubava.
Waziri wa Fedha, Willium Mgimwa (kulia) akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki United Bank for Africa (UBA) Tanzania, Daniel Addo kwenye uzinduzi wa kadi ya malipo ya kabla ijulikanayo kama ‘’Africard’’ ambapo Waziri aliisifu taasisi hiyo kwa kutoa huduma nzuri za kifedha. Nyuma kulia ni Mwenyekiti wa Bodi, Jenerali Robert Mboma na Afisa Mtendaji Mkuu kutoka Nigeria, Gabriel Edgal.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Inamaana JWTZ siku hizi linashindwa kuwatunza majenerali wao wanapostaafu ama??maanza enzi zetu mtu kama jenerali ni mtu mzito sana na kuheshimika mpaka anaingia kaburini. Sasa hii sijui kazi za ujumbe wa bodi, etc inawashushia heshima majenerali wetu jamani. Ni nini hiki posho au? Tafadhali michuzi ufikishe huu ujumbe maana huku nilipo majenerali wote wakistaafu sana sana wanatoa mihadhara kwenye vyuo vya kijeshi.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...