Waziri wa Nchi katika ofisi ya Rais asiye na wizara maalum Profesa Mark James Mwandosya ambaye pia ni Mbunge  wa Rungwe Mashariki akikabidhi ripoti ya maendeleo ya jimbo hilo kwa Mkurugenzi mpya wa Halmashauri mpya ya Busokelo Bi. Imedia Ishuza Katikati .ni Mkurugenzi wa Wilaya ya Rungwe Nd.Noel Mahyenga

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Tanzania ina Meremeta Meremeta. Rungwe Mashariki ina Meremeta Meremeta.Angalia milima, miti pamoja na aridhi.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...