Mchezaji Edward Christopher (kulia) wa Simba akitafuta mbinu ya kumtoka Anthony Kimani wa Sofapaka ya Kenya wakati wa mchezo wa kirafiki kati ya timu hizo uliochezwa Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam jioni hii. Sofapaka imeshinda mabao 3-0

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. tumekalia uchawi tu mazoezi hatuna wala nidhamu ya mchezo hatuna hata kama tukikaa kambini wenzetu wanachukulia seriously michezo hii sii libwata ndo maana leo utasika sijui tumeparuwa magoli 3 sijui nin na nini ujinga na upuzi mtupu

    ReplyDelete
  2. Yaani PAKA WA SOFA anaparura SIMBA bila majibu!
    Mdau
    Jangwani

    ReplyDelete
  3. Safi sana!!! wamezidi maneno,,,

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...