Spika wa Bunge la Tanzania Mhe. Anne Makinda akipokelewa na wafanya kazi wa Ubalozi mjini Roma Italia mara baada ya kuwasili ubalozini hapo hivi karibuni.
Msaidizi wa Balozi na Mkuu wa Utawala wa Ubalozi Bw. Salvatory Mbilinyi akimpa Mhe. Spika taarifa fupi ya Ubalozini hapo.
Wafanyakazi wa Ubalozi wakimsikiliza Spika Makinda alipokuwa akiwaasa kuwa ushirikiano, kufanya kazia kwa bidii na uzalendo kwa nchi yao ni nyenzo kubwa za kuitangaza vema Tanzania.



Hatujaona Mhe. spika akikutana na Chibiriti. Je imekuaje?
ReplyDelete
ReplyDeleteChibiriti ndiyo nani?