Mwenyekiti wa Tume ya Mabadliko ya Katiba Jaji Joseph Sinde Warioba akizuingumza na waandishi wa habari katika hoteli ya Seed Farm Villa mjini Songea leo kuhusu ukusanyaji wa maoni ya wananchi kuhusu Katiba mpya. Kulia ni kiongozi wa timu ya Tume hiyo inayokusanya maoni mkoani Ruvuma Profesa Mwesiga Baregu.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Ttz ni kuwa wengi wanadhani hapo ni pahala pa kutangaza njaa au kumwaga dkdk lao binafsi, je wabunge mbona hamwendagi kuwasikiliza wapiga kura wenu kama hii tume inavyofanya?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...