Mkurugenzi wa Kampuni ya Edge Entertainment ambao ni waandaaji wa Tamasha la Muziki Tanzania,Edwin Ngere (kulia) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) leo wakati wa kutangaza siku ya Tamasha hilo ambalo litafanyika kwa siku mbili kuanzia kesho Septemba 28 na 29 katika viwanja vya Leaders Club,jijini Dar.Wengine pichani ni Baadhi ya wanamuziki wa Bendi mbali mbali ambazo zitashiriki Tamasha hilo pamoja na Balozi wa Tamasha hilo,Jacqueline Wolper (pili kulia).
 Mwanamuziki Mkongwe wa Bendi ya Wazee Sugu,King Kikii (pili kushoto) akiongea kwa msisitizo juu ya jinsi alivyojiandaa yeye na bendi yake kuonyesha umahiri katika Tamasha hilo la Muziki wa Dansi hapa nchini.Tamasha hilo litafanyika kwa siku mbili kuanzia kesho Septemba 28 na 29 katika viwanja vya Leaders Club,Jijini Dar es Salaam.
 Baadhi ya waandishi wa habari waliofika kwenye mkutano huo wa kutambulisha siku ya Tamasha la Muziki wa Dansi hapa nchini.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...