Home
Unlabelled
UGANDA'S 50TH INDEPENDENCE ANNIVERSARY CELEBRATIONS 13TH OCT 2012, STOCKHOLM SWEDEN
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
kiingilio mbona hamjasema kroner ngapi??
ReplyDeleteDr.Jose Chameleone:
ReplyDeleteUdakitari umeupata wapi wewe?
Udakitari mchezo?
Wewe si ndio ulifanya maandamano kwenu Kampala ukamwingilia Balozi wa Tanzania ukidau kurudishiwa Pasipoti yako wakati uliiweka bondi pasi na baada ya onyesho lako Bongo ukafanya mazishi kwa kuvunja uaminifu kwenye malipo?
Tuliamini kukaa kwako Bongo miaka yote ile ungekuwa umestaarabika lakini haikuwa hivyo!
Acha usanii!
Kama Cameleone ni Dr. mimi nitakwenda kunya katikati ya barabara saa 7 mchana mbele ya Ubalozi wa Uganda wa hapa Dar Es Salaam-Tanzania!
ReplyDeleteutakuwa Dakitari wa mazishi dhidi ya Wabongo na Wakenya!
ReplyDeleteMiaka 50 ya Uhuru wa Uganda ya nini kwenda mbali kote Sweden?
Ungekuja fanya onyesho Tanzania au Kenya!...uone kama ungeweza kuingia na ukatoka!
utakuwa Dakitari wa mazishi dhidi ya Wabongo na Wakenya!
ReplyDeleteMiaka 50 ya Uhuru wa Uganda ya nini kwenda mbali kote Sweden?
Ungekuja fanya onyesho Tanzania au Kenya!...uone kama ungeweza kuingia na ukatoka!
Kumbe umejua enhhh?
ReplyDeleteKafanyie maonyesho yako huko Sweden kwa vile nchi za Afrika ya Mashariki umebakiza Rwanda pekee ndiko huna msala!
Ukitia maguu Burundi, Kenya na Tanzania ukiwa mzima mzima unamezwa na mamba!
Chameleone,
ReplyDeleteAcha mazishi na dharau,omba msamaha Burundi, Kenya na Tanzania ili uweze kuja kupiga mkwanja wa mapesa!
Ni wazi umeleta kiburi lakini unafahamu fika kuwa soko la kazi zako liko huku kwenye nchi ulizonyea kambi!
Kama umetosheka na mafanikio yako kuna sababu ukatangazia ziara yako ta Sweden ktk majamvi ya Wabongo?
Chameleone, kanyaga Bongo au Kenya uone kama hutamezwa na MAMBA!
ReplyDeleteUdakitari una mielekeo mingapi?
ReplyDeleteNi mingi saaana!
Pana Madakitari wa Siasa na Uchumi ambao hata mkasi wa upasuaji hawaujui!
Ila wewe utakuwa ni Dr. wa Mabangi na Mazishi katika mikataba ya kibiashara !
Chameleone,
ReplyDeleteMazishi uwafanyie hao hao Waganda wenzako Mabanyamulenge wenzio hao hapo utakao piga nao Sweden!
Kanda ya Afrika ya Mashariki watakutoa kamasi kama ulivyoona Bongo umetoka bila Pasipoti na huko Sweden umelazimika kuomba pasi mpya kwenu ili usafiri!
Chezea Bongo weye?
Na huko kwa Kagame kafanye ubwege wako umuone Mr.Paul atakavyo kuzamisha Lupango!
ReplyDeleteSi utajikuta unapelekwa vitani Mashariki ya Kongo kukabiliana na Waasi ?