Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto Mhe.
Ummy A. Mwalimu akizungumza na ujumbe wa watu watatu ulioongozwa na Makamu wa
Rais wa Chuo Kikuu cha Guelph, Ottawa Canada Dkt. Kevin Hall ambaye alifika
Ofisini kwake kujadiliana maeneo ya ushirikiano kati ya Wizara na Chuo hicho.
Kikao kilifanyika tarehe 27 Septemba, 2012 jijini Dar es salaam na kuhudhuriwa
na viongozi wa Wizara.
Home
Unlabelled
Ujumbe wa Chuo Kikuu cha Guelph, Ottawa Canada watembelea Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...